
Kutoka chupa za plastiki hadi vifaa vya ujenzi – HabariMpya
Dar es Salaam. Ni simulizi ya Hellena Silas, mwanzilishi na mkurugenzi wa Kampuni ya Arena Recycling, inayojihusisha na urejelezaji taka za plastiki kutengeneza vifaa vya ujenzi kama matofali na mbao mbadala. Bidhaa hizi zinatumia taka za plastiki na mchanganyiko wa malighafi nyingine. Kinachofanyika ni ushuhuda wa jinsi mawazo ya ubunifu, juhudi na mapenzi ya kweli…