Yaliyotupa nguvu, yatakayotupa nguvu zaidi kwa miaka mingi ijayo – HabariMpya
Msemo wa wahenga unasema: “Kile kisichokuua kinakufanya kuwa na nguvu zaidi.” Msemo mwingine unasema hivi: “Meli bandarini iko salama, lakini haijajengwa kwa ajili ya kubaki bandarini.” Hiyo ndiyo imekuwa safari ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) – kuchunguza, kuthubutu na kushinikiza mipaka, ingawa ndani ya mipaka husika. Katika mchakato huo tulijikuta tukiungua vidole mara kwa mara….