Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat – HabariMpya
Dar es Salaam. Waandishi wanane wa Mwananchi ni miongoni mwa washindi waliochukua tuzokinya’nga’nyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (Ejat), kwa mwaka 2023. Waandishi hao ni pamoja na Julius Maricha wa Gazeti la The Citizen aliyechukua tuzo mbili za malezi na makuzi ya awali ya watoto na tuzo ya michezo kwa upande wa…