Wanavyoubeba mustakabali Chadema baada ya uchaguzi – HabariMpya
Mjadala mkubwa umeendelea nchini tangu Desemba 12, 2024 baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho, akishindana na Mwenyekiti, Freeman Mbowe. Licha ya kwamba tayari wagombea wanne wamechukua na kurejesha fomu kuwania nafasi hiyo, ushindani mkubwa uko kati ya vigogo hao wawili; Mbowe na Lissu na kumekuwa na…